Nimekusoma ndugu !! Tatizo hawa ni km wananipima ili nioneshe dedication kuwa nataka niende kusoma so huu ni mtihan nimepewa nijitafutie chuo mwenyeweSasa kama una wadau wapo huko na watakulipia ada.. mbona tayari kila kitu! Watumie hao hao wadau wakufanyie mambo yote kama kweli wana nia ya kukusaidia.. na ni google ipi unayotumia ambayo imeshindwa kutambua vyuo vya usa na canada??
Najua unachokiwaza ww huko online kuna limit google haiwez kila kitu pia kuna GPA vyuo vingi wanataka GPA 3.5Kama una degree ,pia una wadau huko duniani na hujui namna scholarship zinapatikana, unahitaji maombi ya ziada
Believe me ni kikwazo hasa km unadhaminiwa ila km una wazaz wako na wana pesa huko GPA ni taka taka tuWadau wameshindwa kweli? GPA haijawahi kuwa kikwazo mzee...
Believe me ni kikwazo hasa km unadhaminiwa ila km una wazaz wako na wana pesa huko GPA ni taka taka tu
Idea unayo. Embu tuambie izo test unazifanya vipi na nilazima uwe ume qualify kwenye izo test ndio uanze kuomba hayo maombi ya vyuo au vp ?Dodo acha Ushamba wa GPA ni hivi
kwa USA, Lazima ufanye Test 2, ya kwanza ni GRE na ya pili ni TEOFIL/IELTS
Zote hizo test si chini ya Tshs 1,200,000, kumbuka kuna kufeli pia.
kiwango cha chini kwa IELTS kwa ufadhili ni 6.0bands na GRE ni 50bands nadhani.
kabla hujaanza chochote unatakiwa uwe na hizo.
ukiwa na hizo ndio unaweza kuomba kwa scholarships ukafanikiwa ila sio zile za Common wealth au UN maana zile wanataka OUTSTANDING PERFORMANCE kuanzia Olevel( hizi zinapitia michakato mingi sana ya interview, ukipata hizi wewe ni kweli unajua)
kingine kwa za kawaida tu, ukiwa na usd 5,000 unapata bila shida, hizi wanapata wengi wa watoto wenye nazo.
Idea unayo. Embu tuambie izo test unazifanya vipi na nilazima uwe ume qualify kwenye izo test ndio uanze kuomba hayo maombi ya vyuo au vp ?
Ngoja nifuatilie hzo test ila hio pesa pia yaweza kuwa changamoto vp kuhusu canada wao wana mfumo ganDodo acha Ushamba wa GPA ni hivi
kwa USA, Lazima ufanye Test 2, ya kwanza ni GRE na ya pili ni TEOFIL/IELTS
Zote hizo test si chini ya Tshs 1,200,000, kumbuka kuna kufeli pia.
kiwango cha chini kwa IELTS kwa ufadhili ni 6.0bands na GRE ni 50bands nadhani.
kabla hujaanza chochote unatakiwa uwe na hizo.
ukiwa na hizo ndio unaweza kuomba kwa scholarships ukafanikiwa ila sio zile za Common wealth au UN maana zile wanataka OUTSTANDING PERFORMANCE kuanzia Olevel( hizi zinapitia michakato mingi sana ya interview, ukipata hizi wewe ni kweli unajua)
kingine kwa za kawaida tu, ukiwa na usd 5,000 unapata bila shida, hizi wanapata wengi wa watoto wenye nazo.
Dah kwel kazi ipoHabari za leo wadau Great Thinkers,
Sasa leo naombeni mnipe mwonozo maana nimechoka kugoogle mimi nimehitimu degree in civil engineering mwaka 2018 na nina GPA ya 3.1 na hapa nina wadau wangu wanaoishi USA na Canada, sasa wamenipa ofa nifanye application nione kama naweza kupata chap USA na CANADA. Ada watanilipia; shida ipo hapa kwenye kutafuta vyuo, kwenye internet mambo ni mengi nime -Google mpaka nimechoka.
Naombeni mnipe mbinu wadau kwa hizo datails zangu ni mbinu gan nitumie kupata vyuo japo niwatumie email ya kuomba scholarship kwa GPA yangu hii ya 3.1
Natanguliza shukran za dhati.
Hapana kama tayari una ufadhili wewe unataka kupata admission tu ya chuo bas. Hivyo unaweza kupata chuo bila hata ya mitihani sio vyuo vyote wanataka mitihani ikiwa una mfadhiri wakoHabari za leo wadau Great Thinkers,
Sasa leo naombeni mnipe mwonozo maana nimechoka kugoogle mimi nimehitimu degree in civil engineering mwaka 2018 na nina GPA ya 3.1 na hapa nina wadau wangu wanaoishi USA na Canada, sasa wamenipa ofa nifanye application nione kama naweza kupata chap USA na CANADA. Ada watanilipia; shida ipo hapa kwenye kutafuta vyuo, kwenye internet mambo ni mengi nime -Google mpaka nimechoka.
Naombeni mnipe mbinu wadau kwa hizo datails zangu ni mbinu gan nitumie kupata vyuo japo niwatumie email ya kuomba scholarship kwa GPA yangu hii ya 3.1
Natanguliza shukran za dhati.
Hv io mitihan inakuwa ya nn hasa ? Au somo gan ?Hapana kama tayari una ufadhili wewe unataka kupata admission tu ya chuo bas. Hivyo unaweza kupata chuo bila hata ya mitihani sio vyuo vyote wanataka mitihani ikiwa una mfadhiri wako
Wanazingua hawataki kukusaidia hao ..sasa unatfutaje chuo wakati wao ndo wangekusaidia kutafuta..Nimekusoma ndugu !! Tatizo hawa ni km wananipima ili nioneshe dedication kuwa nataka niende kusoma so huu ni mtihan nimepewa nijitafutie chuo mwenyewe
Hivi nikitaka kununua hizo ma vyeti inawezekana?unatakiwa uwe umefanya kwanza, kwakua wakati wa kuomba chuo kuna mahali watakuambia uwape matokeo na usubmitt vyeti vya hizo test
IELTS unafanya British council, hizo zingine wanafanyiaga pale Mwalimu Nyerer dsm
Oya bado uko bongo.Ngoja nifuatilie hzo test ila hio pesa pia yaweza kuwa changamoto vp kuhusu canada wao wana mfumo gan
Nilishawapotezea npo na mishe zengine saizWanazingua hawataki kukusaidia hao ..sasa unatfutaje chuo wakati wao ndo wangekusaidia kutafuta..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Yap