Heshima zangu kwenu wana body wa Jf.
Naombeni mnijuze kuhusiana na hii course ya Bachelor of Engineering in Marine Engineer Technology kuhusu upatikanaji wa ajira zake, pia kama ni marktable katika hizi nchi zetu za maziwa makuu.
Chuo ambacho nataka kusomea ni DMI.
Asante wanabodi, na ni watakie siku njema.