Hamna rahisi hapo zote ni ngumu
Wote ni bora hapo ,na hamna kozi rahisi kama unavyodhania.
Kama utapenda Uhasibu ukimaliza mwaka wa tatu ,fanya mitihan ya CPA au ACCA ndo utaona utamu wa kazi yako ,Makampuni mengi binafsi ya madini wanapendeleaga walio na ACCA mishahara yao ni kati ya 5 to 8m.
Pia nakushauri usome kwanza umalize chuo manake nasikia pia kuna kushndwa kumaliza chuo.Maswala ya ajira baadaeeee.