naombeni kuuliza, hii ni nini hasa???


Mkuu hapo nilipogonga red anatakiwa azingatie sana ushauri na ajaribu sana kutoka kwenye mawazo hayo aliyojijengea. Inawezekana ikawa ameshajijengea hayo mambo akilini na kila saa anafikiria kutokana na kuipa hiyo hali kipaombele zaidi. Anatakiwa aachane nayo anapoona hiyo hali ajishugulishe na kufanya kazi hata za nguvu ili kuondoa huo utando akilini. Yaani ahakikishe haruhusu kujadili akilini hayo mambo kabisa ataanza kuijengea akili mazingira mengine na hiyo hali inaweza kutoweka. Asijeakaruhusu au akaipa nafasi kitu ambacho hakipendi kama ni mtaka ushauri kweli. Ajiangaliye yupo kwenye mazingira gani zaidi tangia alipoanza kukumbana na hiyo hali inawezekana ikawa ni maradhi ya kisaikilogia. Lakini hapo kwenye vidole ameniacha hoi. Kwa nini anakubali kuuchezea mwili wake hata yeye mwenyewe ni swali ambalo hata yeye mwenyewe anatakiwa ajiulize. JITAHIDI UMUWEKE MUNGU MBELE ZAIDI KWA KILA JAMBO KIMAWAZO.
 
nashukuru sana kaka angu ulietangulia,huyu aliandka i thread ni SHOGA 100%,mana amejitaidi kujivika uhusika wa kiuwanawake bt bdo imeshdwa ku work out,chek juu commnt zilizopta kuna sehemu amepewa ushauri na DENA embu muangalie ukwel upo wapi, minadhani huyu ni BOFLO karudi na mada zake.
 
Mimi nahisi una silika za kupenda kuingiliwa nyuma na wanaume,nakushauri tafuta bwana mmoja kwa siri sana akuingilie uone utajisikiaje,ukiona utamu basi endelea nae ukiona si tamu basi acha kabisa
 
Sibure utakua una jini basha linalokuingilia kwa nyuma,ila je hujawahi kuingiliwa kwanyuma kikwelikweli?inawezekana nimchezo wako,kama bado nenda ukaombewe dua au ufanyiwe maombezi kulingana na imani yako.
 
God forbid.
Me nakushauri kama huna mwanamke utafte mwanamke haraka.logic ni kua lazima halai hiyo inaanza kuupelekea wewe kuhitaji kufanya hivyo.
cha msingi ni kua na mwanamke ili uwe wewe ndo unakula.ukikaa hivyohivyo ham zitakuzidi na ukikosea ukajarib siku mojatu umeisha.
lazima utaendelea ndugu. unatakiwa pia utumie saikolojia yako kuchukia hizo ndoto hatakama mwili umeshaanza kuzipenda.
 

Kha i see angalia usije ishia kupakatwa mtoto wa kiume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…