Hiyo inafanyika hospitalini zaidi kwa kutumia vipimo maalum.Lakini kuna njia ya kawaida kama kuangalia rangi ya shahawa na wingi wa shahawa.naomba unifafanulie mkuu
Ndo manake unapoambiwa upeleke stool[choo] uwa inakuwaje.nashukuruni sana kwa majibu yenu kwaiyo nikienda hosptalini ili kuzipima sperm zangu wanazichukuaje au wananipa kidosho alafu namwagia nje alafu ndo zinachukuliwa na kupimwa?
Sperm analysis means unaangalia parameter zifutaazo
1.volume-hii unaangalia wing wa sperm yaan ujazo kwa kawaida ni 2-5mls
2.colour-rang ya sperm
3.viscosity-hii ina maana mnyambululiko wa semen je ina vutika au ina katika katika..kwa kawaida ni lazma ifike 2cm
4.ph-kupima kama ni alkalin au ni acid
5.fructose -hii aina ya sugar kwenye sperm so tunaangalia kama ipo
6.sperm motility_kiangalia mbegu zina tembea na kama ndiyo kwa mwendo gan wa haraka au wa pole pole
7.sperm morphology _hapa tunaangalia je wana shape gan hutakuta weng hamna vichwa,wala mkia
8.sperm vitality_hapa tunaangalia uwezo wa sperm wanao ishi na wanaokufa baada ya kumwaga
9.sperm concentration _hapa tunaangalia uwing wa sperm je zipo za kutosha.kwa kawaida nilazma zifike altleast mil.5......
utazpataje izo sperm ili uweze kupma yte hayo!?Sperm analysis means unaangalia parameter zifutaazo
1.volume-hii unaangalia wing wa sperm yaan ujazo kwa kawaida ni 2-5mls
2.colour-rang ya sperm
3.viscosity-hii ina maana mnyambululiko wa semen je ina vutika au ina katika katika..kwa kawaida ni lazma ifike 2cm
4.ph-kupima kama ni alkalin au ni acid
5.fructose -hii aina ya sugar kwenye sperm so tunaangalia kama ipo
6.sperm motility_kiangalia mbegu zina tembea na kama ndiyo kwa mwendo gan wa haraka au wa pole pole
7.sperm morphology _hapa tunaangalia je wana shape gan hutakuta weng hamna vichwa,wala mkia
8.sperm vitality_hapa tunaangalia uwezo wa sperm wanao ishi na wanaokufa baada ya kumwaga
9.sperm concentration _hapa tunaangalia uwing wa sperm je zipo za kutosha.kwa kawaida nilazma zifike altleast mil.5......
Utapiga punyeto tu mkuunashukuruni sana kwa majibu yenu kwaiyo nikienda hosptalini ili kuzipima sperm zangu wanazichukuaje au wananipa kidosho alafu namwagia nje alafu ndo zinachukuliwa na kupimwa?
Ina maana hujui jinsi Sperm zinavyopatikana?? Fanya njia yoyote uijuayo Shahawa zitoke zikapimweutazpataje izo sperm ili uweze kupma yte hayo!?
Punyeto siyo lazma utumie kimiminika dudu kwa paja tu znatokaKuzipata Dr mmoja mie aliniambia ni bora ukafanya sex na mpenzi wako kisha ukikaribia kimwaga, unazimwagia kwenye ki container utapewa na Dr na zisikae zaid ya nusu saa bila kufika kwa Dr, na kwa nini wanashauri ufanye sex na si punyeto ni kwa sababu kimiminika utakachotumia kinakuwa na kemikali hivyo kinaweza leta shida kikichanganyika na sperm na unaweza enda pima ukajikuta huna uwezo kumbe uwezo unao sababu tu umetumia sabuni au mafuta, njia bora na sahihi ni sex na kufanya withdraw ya sperm kwenye kichupa maalum
Duh, wataalam hao!Punyeto siyo lazma utumie kimiminika dudu kwa paja tu znatoka