Kuna aliyewahi kutumia dawa za yule Dr Kibona anaejitangazaga kwenye TV anatibu magonjwa mbali mbali kwa miti shamba? Kama yupo naomba alete ushuhuda kwani hata mm nimepatwa na mkasa ambao inabid nimtafute kama huduma zake ni nzuri. Au kama kuna mwingine anaeweza kunielekeza nikapata tiba ya kuongeza ufuaji wa mbegu za kiume kwa wingi maana naona zimeshuka kwa kasi. Tafadhali natanguliza shukrani za dhati kwa wanajukwaa, MSAADA PLZ.
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums