Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani, tupeni machimbo
Mimi nataka kuleta dsm
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Minada yote ya Dodoma japo saivi kuku bei iko juu sana,mm nanunua Kwa wastani wa 11,000 kila kuku
Mwisho 12Weka bei ako, tukupe machimbo mkuu
Machimbo ni mengi ila ni bei yako tu
Mchanganyiko size ya kati na kubwaSize gani?
kuku wa kienyeji? haha kuku wa aina gani hao?bKaribu Tarime
Kuku 10: tsh 9000
90,000/=