Biskuti ni cookies ukipata pastrier mzuri anapiga hizo na mikate kiwanda tayariTupeane and mbinu za kuanzisha viwanda vidogodogo, kama vya pipi, biscuit, sabuni za kioande, ungrateful, maji, kiwanda cha tooth sticks, plastic materials-viti, mesa.etc, fish filet processing,beef processing, ice creams, juice, rice and flour processing, mafuta ya kupaka
dadaa naomba uni-pm,nashindwa kutuma ujumbe sijui shida nnnipo na kiwanda cha vipodozi
karibu unahitaji kufahamu nini?
πππdadaa naomba uni-pm,nashindwa kutuma ujumbe sijui shida nn
Naomba utupe namna ya kuanzisha,ununuzi wa machine,materials,aina ya vipodozi,kufungua kampuni,TRA,TFDA,TMDA.Hasara na faida ya uanzishwaji wake,how to brand.dadaa naomba uni-pm,nashindwa kutuma ujumbe sijui shida nn