naombeni majibu

gelly mubanga

Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
5
Reaction score
0
Jamani wataalam nipeni majibu ya utata huu hivi ni kweli kwamba mbu hawezi kueneza virusi vya ukimwi kupitia damu anayo nyonya kwa mwathirika?na kama ndiyo ni kwa sababu zipi
 
UKIMWI si ugonjwa wa kuambukizana. Unaanzia mwilini mwako na kuishia mwilini mwako. Fungua HAPA upate darasa. kila la heri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…