naombeni maoni yenu katika hili

duuh mi hata sina cha kuandika
 
Ukiona hivyo, jua hapo ni ngoma droo! Wewe 5 yeye 5.
 
snowhite naomba kuwa wmanafunzi wako....hata ikibidi kuomba ruhusa kwa my sweetlo gfsonwin, nitagangamala tu.....unanikosha sana

karibu darasani!mi huwa nafundisha kwa vitendo maana si unajua mwalimu ni full demontrations!gfsonwin ataelewa tu huwa tunagawana dk 80.yeye vipindi vyake ni baada ya break!
 
S/he is torturing you, anasubiri ulianzishe wewe!
 
Thanks Mwalimu! sweetlo gfsonwin hebu come zis way umemsikia mwalimu mwenzio snowhite?

kipindi cha kwanza kilikuwa leo alfajir,tatizo sikukuona kwa hiyo ushamiss kitu hapo!ntakuwa na kipindi kingine by saa 4 hivi usiku actually maandalizi au lesson plan nitaianza toka saa kumi na moja jioni darsa litakuwa jikoni!kwa hiyo hakikisha hukosi.na ukiwa absentee nitagundua tu!
 

awkey mwalim...so, saa kumi na moja tunapiga jalamba....saa nne maandalizi! Asubuhi nilikuwa kipindi cha sweetlo gfsonwin, ndo maana nikashindwa ila kwa muda huo nitakuwepo snowhite.....woooooooooooooord! Ila kwenye darasa lako usimkaribishe Asprin yeye bado hajafikia kufanya practicals, anaonekana mkubwa kwa vile alichelewa kuana shule shauri ya kuchunga
 
Last edited by a moderator:
afrique..Je ni mara ya kwanza kwa mpenzi wako kukutana na message za aina hio? Kama si mara ya kwanza...Akili kum-kichwa...kachoka kuongea mtoto wa watu hivyo ujipange kama unataka huu uhusiano udumu!! Kama ni mara ya kwanza na unajua ni ya mwisho, muombe msamaha muyamalize so life can go on!
 
Last edited by a moderator:
Hahahah hommie bana...... haya hebu nipe basi wasifu wa kijinsia wa snowhite ili nione kama kuna umuhimu wa kufanya tuition ya praktikoz.....
 
Last edited by a moderator:
usijali nitampa jaribio mooja tu,atatakiwa kushika sikio la upande wa kushoto kwa mkono wa kulia!kama hajakidhi vigezo hataingia darasani!
 
Afu hommie waweza kuunganisha dots na kutambua uwepo wa SnowBall na snowhite? Majibu kwa PM kama kawaida tafadhali....!!

im honored mkuu!haya asprin ila nimeambiwa kwenye darsa langu hutakiwi kuwepo sa sijui kweli?ila usijali mwalimu nna mbinu nyingi za kutambua mwanafunzi nimweke kwenye kundi gani cognitive au hypothesis
 
im honored mkuu!haya asprin ila nimeambiwa kwenye darsa langu hutakiwi kuwepo sa sijui kweli?ila usijali mwalimu nna mbinu nyingi za kutambua mwanafunzi nimweke kwenye kundi gani cognitive au hypothesis

Kama kawaida darasa lako sitapenda kulikosa pacha..do me a favour please!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…