naombeni maoni yenu katika hili


ni mara ya kwanza lol,hatoi nafasi ya kuelezwa kitu,muda umepita sasa yuko tu kimya
 
Last edited by a moderator:
Pacha snowhite naomba washkaji zangu hawa wawili Asprin na Kaizer wakija darasani na mimi nialikwe ningependa kushare nao vitu vizuri aiseee...

Kama kawaida darasa lako sitapenda kulikosa pacha..do me a favour please!!

hommie Asprin unaona umemstua SnowBall kutoka kwen sijui siasa ama nini hadi kaja? darasa letu ni academy halitaki wanafunzi wengi...sasa sijui snowhite atamfanyia favour au ni vipi manake hapo ndo utatoka mazimaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
hommie Asprin unaona umemstua SnowBall kutoka kwen sijui siasa ama nini hadi kaja? darasa letu ni academy halitaki wanafunzi wengi...sasa sijui snowhite atamfanyia favour au ni vipi manake hapo ndo utatoka mazimaaaaaaa

Braza Kaizer mie ntakuwa msikilizaji tu..as an ex-officio member..
 
Last edited by a moderator:
Sio lazima iwe hivyo
wengine hutumia 'kukaa kimya kama adhabu'
ili u feel guilty na ili akunyime nafasi ya wewe kudanganya au kuomba msamaha uji feel better...

Great Thinker .... very true The Boss
 
Ha ha ha ha ha

He he he he he he he

Antili faza notisi

Was l talking to you?
Mwache mwenyewe achague, kati ya kitu adimu kama Kaunga au vitu vya kawaida kama vya kwenu.
Kaizer dearest, dont you think l am worthy that small sacrifice? Wewe huoni kuwa na wake zaidi ya 3 maana yake hajapata mmoja mwenye combination ya kila kitu, hivyo anaishia kupata a bit of everything from them all na bado hajaridhika!
 
Last edited by a moderator:
Una bahati sana
Ingekuwa ni Eiyer wangu, ungenikoma leyo.

 
Last edited by a moderator:
He he he he he he
Kumbe wa moyoni anauma eeeh

Nimecheka sana.

Edit basi hiyo post yako, ulifute jina la my Eiyer, l was just teasing you, you know that eeh! Asprin for you gals, niachie my love Eiyer bwana. You know you are my best friend, pleaaas!!!!!!!!!!!!!!
 
hivi utamuelewa vp mpnz wako endapo amekuta msg za mapenzi ulizokuwa unachat na mtg mwingine na hakuulizi kabisa na umemuona akizisoma
Hiyo ndo dawa ya wasliti!kwa hiyo furaha yako we ni kumtia wivu akuulize?sikiliza wewe afrique mpenzio ameamua kukuacha tu kwani anajua wasaliti walio wengi wakiulizwa wanakana.kwa hiyo ameona hana sababu ya kukuuliza.je akikuuliza ukakataa?unafikiri atafanya nini?atakulazimisha?mpenzi wako ni mstaarabu hataki ugomvi baina yenu.
sasa what to do be the first kuianzisha topic,omba msamaha,anaweza akakusamehe mkastart afresh.
lla sasa sikiliza hilo liwe fundisho kwako.kama una tabia hiyo acha mara moja maana hawa watu wapuuziaji wabaya sana.atapuuzia weeee ila siku ya shingo yakimfika mmmm ndugu yangu unapoteza mwana na maji ya moto.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
OMG.... Am doomed!! Popote pale ulipo Kaizer njoo ona nisivyotendewa haki hapa.

BTW Kaunga na Kaizer mlishawahi kusoma novel ya Sydney Sheldon iitwayo Doomsday Conspiracy?

Ha ha ha, nimefurahi sana kukuona nimekucorner kiasi hicho.

Nampenda sana Sydney Sheldon, ila hiyo novel sijaisoma; itabidi niitafute aisee! Kaizer alisha come to your rescue muda mrefu sana; ila Kongosho naye amenibana kwenye kona ambayo anaijua itaniuma. So you are released kwa muda. LOL
 
Last edited by a moderator:
Kitafute ukisome afu uje unisimulie. Afu inakuwaje mambo yangu na wewe ndo mpaka uwashirikishe wake zangu? Hivi unazijua rules za infidelity lakini? Kaizer hebu mpe yale makabrasha...!
 
Last edited by a moderator:
Wifey bana, siku hizi hata kusoma katikati ya mistari kumekushinda? Stuka....THINK!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…