naombeni maoni yenu katika hili

hommie Asprin unaona umemstua SnowBall kutoka kwen sijui siasa ama nini hadi kaja? darasa letu ni academy halitaki wanafunzi wengi...sasa sijui snowhite atamfanyia favour au ni vipi manake hapo ndo utatoka mazimaaaaaaa
snowball nishampa umonitor!na daftari la mahudhurio pia nishamkabidhi!
 
hivi utamuelewa vp mpnz wako endapo amekuta msg za mapenzi ulizokuwa unachat na mtg mwingine na hakuulizi kabisa na umemuona akizisoma

vitu vingine vya kujipa presha bure , asa AUDITING YA MESSAGE YA NINI SASA , cha mtu ma.i , ni busara kunyamaza tuu ukikutana na kitu dizaini hiyo ila dah kushika simu ya mtu mi naona utakufa siku si zako kama unamtrust no need ya kushika simu ya mpenzi wako , kama akiamua kukucheat atakucheat tu anaweza hata kuhamia hukohuko asa kama amecheat kwa tu message tu afu bado akarudi si bora ushukuru Mungu kuliko angeondoka moja kwa moja, mi naona kuchokoroa simu ya mpenzi wako it's not a big deal kabisa . bora tu utulie kiherehere somtimes huwa kina cost jaman hhee
 

mi naona ni vizuri kama unakifua ,we huwa hugusi cm ya mpenzio?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…