naombeni maoni yenu katika hili

Last edited by a moderator:
What?

Jibu zuri ila hilo jina aint good for my love konnie. Please say sorry to Kongosho before I loose my temper and change my mind....LOL

Eti Kongosho, eti Asprin amesema ingekuwa wewe mwingine, hilo jibu eti lilikuwa eti ni saizi yako eti, eti kwa vile wewe ni his sweet Konnie eti nikuombe msamaha eti; haya basi samahani!
 
Last edited by a moderator:
Eti Kongosho, eti Asprin amesema ingekuwa wewe mwingine, hilo jibu eti lilikuwa eti ni saizi yako eti, eti kwa vile wewe ni his sweet Konnie eti nikuombe msamaha eti; haya basi samahani!
Hahahahaha...mdokozi wa sukari na maandazi enzi za utoto utamjua tu...khaa! Manake tabia zao na vikojozi hazitofautiani sana...........hahahahha Gotchaa!!!
 
Hahahahaha...mdokozi wa sukari na maandazi enzi za utoto utamjua tu...khaa! Manake tabia zao na vikojozi hazitofautiani sana...........hahahahha Gotchaa!!!

Umekosa, nilikuwa nadokoa maziwa ya unga tu! LOL
 
Nakufagilia ili aone ulivyotulia

Backhanded compliment, Asante mwaya! Ngoja nikaandae Mazingira ili Eiyer akitoka kuponda kokoto asipate nafasi ya kuingia MMU.

Kwanza nimekumbuka udi umeisha, nije unipatie japo kiduchu?
 
Last edited by a moderator:
Ijia, nao wa AJMAL
Ila leo mwisho kuazima udi wangu

Cha kuchomea unacho? Au bado watumia vile vya mkaa?

Leo tu nisitiri mwenzio, basi niazime na chakuchomea chake, maana ninatumia kipande cha chungu!
 
mi naona ni vizuri kama unakifua ,we huwa hugusi cm ya mpenzio?

Afrique mi wala siigusi cm yake na wala hatuna malumbano ya kijinga ya kuhusu message za kwenye simu ful burudani
 
Kama ni sogea tukae yani hamjaoana anza kupaki mana hana hata ya kupigizana kelele na wewe.lakini kama mmeoana ujue tayari ana mtu anamkosha roho uko nje,au keshakuchoka,au kuna kisasi anakutengenezea.
 
duh! huu uzi sijui hata ulipoanzia ila nimejikuta nimeitwa kweli.

Binafsi huyo mwanaume ni matured vya kutosha sana hana haja ya kuulizia ambayo ana majibu yake.
 
duh! huu uzi sijui hata ulipoanzia ila nimejikuta nimeitwa kweli.

Binafsi huyo mwanaume ni matured vya kutosha sana hana haja ya kuulizia ambayo ana majibu yake.

huo ukimya ni sign za maturity kumbe
 
Kama ni sogea tukae yani
hamjaoana anza kupaki mana hana hata ya kupigizana kelele na wewe.lakini
kama mmeoana ujue tayari ana mtu anamkosha roho uko nje,au
keshakuchoka,au kuna kisasi anakutengenezea.

wapenz tu,muda umepita sasa
 
usijipe presha.we ndo ulianza kuwa mvumilivu liwalo na liwe.au ukiona bado unamuhitaji jibembelezeshe kwa kujiweka karibu nae wakati wote atakueleza kilichotokea.
 
Kama ni wapenzi tu sioni ajabu sana, na pia kujua msg zenyewe zilikuwa zinasomekaje ingesaidia kujua kwanini alikaa kimya,labda haikuwa na uzito wa yeye kukuuliza.
Halafu inawezekana anakutumia kupotezea mda ila ana mipango mingine.
 
Kaunga, u know very well kuwa hakuna uwezekano wa kupata kila kitu kwa mtu mmoja...wisdom has it that 'diversification is better' ...so kwa hapo Asprin bado ako sawa kabisa. sasa upo tayari "kumsulubisha" Eiyer na kumfungulia baraba wetu Asprin?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…