naombeni maoni yenu katika hili

Basi hommie "nimerudisha upanga wangu alani"....................
Nimeona hapo chini hommie........ Sasa wawez mruhusu Kaunga ajongee karamu ya ODM?

Kaunga, u know very well kuwa hakuna uwezekano wa kupata kila kitu kwa mtu mmoja...wisdom has it that 'diversification is better' ...so kwa hapo Asprin bado ako sawa kabisa. sasa upo tayari "kumsulubisha" Eiyer na kumfungulia baraba wetu Asprin?
Hahahahahahahaha!!! Siyo Aspiriniiii ila Eiyaaaa!! Msulubishe, Msulubiiisheeee!!
 
Last edited by a moderator:
hivi utamuelewa vp mpnz wako endapo amekuta msg za mapenzi ulizokuwa unachat na mtg mwingine na hakuulizi kabisa na umemuona akizisoma

mpenzio cmtofautishi na mm,,,,,
mie hata nikufumanie ctokuuliza bt cku nikiongea ujue ndio over.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…