Bongemzito
Senior Member
- Nov 5, 2010
- 162
- 19
- Thread starter
-
- #21
halafu out yenyewe wanalazimisha utasikia anabeep ukipiga anauliza upo wapi ukimwelekeza anakuja na wenzake lukuki halafu asubuhi antaka mishiko tena hawa watu vipi hawa!!
Tatizo ukimpenda mwanamume wa kibongo ukamnunulia hata soksi kwa upendo atasema unamuhonga. So kujihami lazima mwanamke auchune.
siku zote mwanamke atabaki mchunaji,na mwanaume mchunwaji...:redfaces:
siku zote mwanamke atabaki mchunaji,na mwanaume mchunwaji...:redfaces:
Mimi siku zote huwa najiuliza ivi wasichana ni wabahili au wanafanya makusudi,inatokea siku mnatoka out wewe(mwanamme) ndo umemwambia mtoke out sio mbaya mwanaume kulipia gharama zote..
Ikitokea yeye siku iyo ndo ameomba yeye mtoke out then mnafika labda mnaagiza misosi yaani bites mavinywaji,then inafikia wakati wakulipa wewe ndo unategemea atalipa lakini unamuona hata hatikisiki kuonesha anajiandaa kulipa hamna,mwanamme we inabidi ujipinde ulipe ivi kwa nini lakini hawa viumbe..
Sasa nauliza ukiona hivyo ndo hujue unachunwa au hulka za wanawake kwamba mwanaume ndo anapaswa kuwa responsible au ndo wanaogopa kuonekana wanawahonga wanaume..................kwa maoni yangu mimi naona cost sharing inapendeza zaidi..
Teh teh teh...............
Chuna haohao uthithubutu kwa Smasher!!1
Du kumbe ndio maana yake.pesa yetu sisi niyakununua vipodozi tu ili tuendelee kung'aa na kupendeza.
Hujipendi eeeeh!aiii wewe???nataka kukuchuna kidogo tu!!
Asante.....mimi niko tofauti,huwa napenda kulipiwa na mpenzi ila pia huwa najisikia furaha na mimi kumlipia sometimes,kuna siku unaweza kuomba mtoke lkn akadai hayuko vizuri hivyo kama mimi ninayo pesa na najisikia tutoke nagharamia!
Hahaha homeboy hapo kwenye stars umesababisha usingizi wangu ukatike! Lol! Na nakupa credit kwenye hiyo ya kuja lundo wanakera sana! Kadude ka thanx sikaoni nakugongea baadae!Hapo kuna hulka kadha wa kadha. Kuna baadhi ya wanaume ukilipa bill wanalalamika kwanini wamuaibisha kwani yy hawezi lipa? Kuna wengine sasa wanapenda sharing cost, kuna wale wenzangu wenye misifa kulipa bill halafu wanaenda kulia machungu ya bill ******. Pia mfumo dume huchangia. Swali kwa wasemao mwanaume ni kichwa alipe bill mbona wakipata mishahara yao hawawapi wanaume kupanga bajeti maana wao c vichwa bwana? Pia kule beijin walijadili haki sawa isipokuwa kwenye kulipa gharama ama...? Pia haka katabia ka kuitwa mmoja mnakuja lundo kangeendelea mpaka kwenye mauroda mnaingia wote kama mlivyokuja...
siku zote mwanamke atabaki mchunaji,na mwanaume mchunwaji...:redfaces:
Mimi siku zote huwa najiuliza ivi wasichana ni wabahili au wanafanya makusudi,inatokea siku mnatoka out wewe(mwanamme) ndo umemwambia mtoke out sio mbaya mwanaume kulipia gharama zote..
Ikitokea yeye siku iyo ndo ameomba yeye mtoke out then mnafika labda mnaagiza misosi yaani bites mavinywaji,then inafikia wakati wakulipa wewe ndo unategemea atalipa lakini unamuona hata hatikisiki kuonesha anajiandaa kulipa hamna,mwanamme we inabidi ujipinde ulipe ivi kwa nini lakini hawa viumbe..
Sasa nauliza ukiona hivyo ndo hujue unachunwa au hulka za wanawake kwamba mwanaume ndo anapaswa kuwa responsible au ndo wanaogopa kuonekana wanawahonga wanaume..................kwa maoni yangu mimi naona cost sharing inapendeza zaidi..
hahaha ile ni noma jamaa kaona bili imekua kubwa kaenda kulilia ****** yaani kuna vituko duniani humu!!C unakumbuka ile ya kulipa bill na kuanza kulia kwani ulilazimishwa kama huna huna tu..