Mkuu nakushukuru sana kwa ushauri wako maana sisi wazazi hatuna raha kabisa.Pole, kama yanabana jaribu tiba nyingine, kata slice ya kitunguu maji, muwekee kwenye unyayo usiku mvalishe na socks ili kisianguke.... Nlimuwekea wangu ilimsaidia
Mkuu nashukuru sana kwa ushauri AsantePole sana. Unaweza kutumia maji ya uvuguvugu na kitambaa kisafi kumkanda puani. Muepushe na mazingira ya vumbi huenda ni allergy.
Jitahidi kusafisha chumba anacholala mtoto anika godoro angalau kwa wiki mara moja,muepushe na vitu vyenye harufu kali kama perfumes, poda au dawa za mbu.
Sabuni ya kuogea isiwe na harufu kali nguo zake zisifuliwe na sabuni zenye harufu kali. Fanya hivyo dawa nazo si nzuri sana kutumia kila mara. Tatizo likizidi onana na daktari wa magonjwa ya watoto.
Fanyia kazi huu ushauri, kama kuna maua au miti yenye harufu Kali yaondoe, vinyesi au manyoya ya wanyama, a/c na marashi vyote vichunguzwe.Pole sana. Unaweza kutumia maji ya uvuguvugu na kitambaa kisafi kumkanda puani. Muepushe na mazingira ya vumbi huenda ni allergy.
Jitahidi kusafisha chumba anacholala mtoto anika godoro angalau kwa wiki mara moja,muepushe na vitu vyenye harufu kali kama perfumes, poda au dawa za mbu.
Sabuni ya kuogea isiwe na harufu kali nguo zake zisifuliwe na sabuni zenye harufu kali. Fanya hivyo dawa nazo si nzuri sana kutumia kila mara. Tatizo likizidi onana na daktari wa magonjwa ya watoto.
una mtoto kweli, maanaPole, kama yanabana jaribu tiba nyingine, kata slice ya kitunguu maji, muwekee kwenye unyayo usiku mvalishe na socks ili kisianguke.... Nlimuwekea wangu ilimsaidia
Sio mtoto, watotouna mtoto kweli, maana
Na mimba yangu ulitoa..Sio mtoto, watoto
Akiwa KIGOMA!?Kama kweli una mtoto wa hivyo nakushauri acha kumpa dawa nyingi bado ni mdogo utamchosha ini lake mapema kumbuka ini lake hakijaweza kusaga na kuteyusha vizuri viini sumu, allergy haina tiba huisha yenyewe kwa watoto akifika miezi 6 hicho kitu kitapotea ama itaendelea kupotea kadri anavyokua, ngumu sana kuepuka allergy unaweza kuepuka hiki leo kesho kikajitokeza kingine kinachosababisha, ila kama upo Moshi muone dr Shoo pale mawenzi ni best dr wa watoto ama kama dar muone dr Rahimu pale Recency utapata msaada sana vinginevyo acha kujaribu dawa utamzidishia sumu mwilini huyo mtoto
Mkuu nashukuru kwa jinsi ambavyo mmeguswa na tatizo hili ushauri wenu nitaufanyia kazi mwisho wa siku nita leta mrejesho hapa AsanteKama kweli una mtoto wa hivyo nakushauri acha kumpa dawa nyingi bado ni mdogo utamchosha ini lake mapema kumbuka ini lake hakijaweza kusaga na kuteyusha vizuri viini sumu, allergy haina tiba huisha yenyewe kwa watoto akifika miezi 6 hicho kitu kitapotea ama itaendelea kupotea kadri anavyokua, ngumu sana kuepuka allergy unaweza kuepuka hiki leo kesho kikajitokeza kingine kinachosababisha, ila kama upo Moshi muone dr Shoo pale mawenzi ni best dr wa watoto ama kama dar muone dr Rahimu pale Recency utapata msaada sana vinginevyo acha kujaribu dawa utamzidishia sumu mwilini huyo mtoto