Mi nadhani ni special kwa wale wanaozuga kuwa wana jamaa au jamaa zao wanawazingua sana kwa sababu kama demu katulia na yuko serious na jamaa yake ni vizuri kuheshimu mahusiano yake na huyo wa kiume mwenzio (remember 'what goes around comes around')
Ila kwa wale wanaoitumia kama silaha au kweli ana jamaa lakini wanazinguana, komaa na umwonyeshe unavyomkubali. Ni vizuri ukijua weaknesses za huyo wanayezinguana naye kama yupo na kuzifanya ziwe strenghts kwako, na zingatia kumwonyesha kuwa unampenda yeye na sio kuwa unamchukia jamaa yake. Kwa kifupi usionyeshe kujali mahusiano yake ila JINSI WEWE UNAVYOMJALI NA KUMPENDA.
Nasisitiza kuwa ni vizuri kuheshimu mahusiano yake kama yako serious