Phoenix Bird
Member
- Jan 27, 2014
- 8
- 3
wana-forum mimi ni kijana wa miaka 23 ni mwanachuo.. nina malengo ya kuanzisha biashara japo sina uzoefu wa kutosha.. Nina mtaji mdogo sana wa kama milioni moja na bado sijajua ni biashara gani inaweza kuwa na manufaa kwanza as long as sipendi nuajiliwa. hivyo naombeni mawazo yenu juu ya kipi naweza kuinvest katika biashara. please please..naheshimu mawazo yenu yote..