Naombeni mbinu ya kumzuia mjamzito asinizoee

Jimmy son

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
709
Reaction score
1,307
Wasalaaam

Naombeni ushauri jinsi ya kusolve hii inshu
Ipo hivi,

Kuna dada nakaa nae mtaa mmoja. She is pregnant. Sasa ametokea kunielewa sana kutokana na aina ya story tunazopiga, yaani Huwa anafunguka sana. Kila muda anakuja mahar napofanyia kazi kupiga story na mimi au wakatI mwingine anapiga simu.

Katika story sake anasema anamchukia sana mme wake, hataki hata kumuona,najua sababu ni mimba, but how to handle this inshu, nahofia jamaa atahisi labda namgongea kumbe hamna.

Nawaza nimpige stop lakini nashindwa coz women are too emotional.

huyu ni mjamzito wa 5 kunielewa, sijui nina nyota Gani, nakumbuka nilipokuwa chuo niliingia majukumu ya kulea mimba ya rafiki yangu kisa tu demu wake alikuwa ananipenda, demu akiwa na hamu ya kuku ananiomba nimununilie.

Ushauri wenu wanazengo.
 
Hahaha
 
Back
Top Bottom