This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Kama kichwa Cha habari hapo juu. Ni kwamba niko katika eneo/wilaya ambayo kwa asilimia zaidi ya 85, watengenezaji na wasambazaji wa hiyo bidhaa ni kutoka katika viwanda vya mjini.
Fursa naiona, kama nitaweza kusambaza hadi maeneo ya ndani vijijini, kwa sababu hawa wanaoleta wanasambaza katika maduka ya barabara kuu, hawaingii vijijini humo.
Nahitaji kuanzisha kiwanda kidogo. Mashine za gharama nafuu zenye Uwezo wa kawaida kiuzalishaji.
Asanteni.