GANG MO
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,092
- 2,210
Habari ya jumapili wadau. Nina asali mbichi kiasi cha lita moja. Sasa nataka nichanganye na unga wa mdalasini. Je ni kiasi gani cha unga wa mdalasini natakiwa kuweka kwemye asali lita moja. Naombeni mnieleweshe wadau. Natanguliza shukrani
sent using [emoji85]
sent using [emoji85]