cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 498
- Thread starter
-
- #21
Je amewahi kukuonyesha girl friend wake ? na kama unamfahamu mna mahusiano gani na G/F wake ...unaitwa wifi or ?
Mie napata wazo huyo Kaka anakupenda lakini kutokana na heshima mnayopeana anashindwa kurusha ndoano.
anadai eti hana girlfriend na sijawahi kumuona akiwa na mpenzi wa kike.
Sasa hapa naanza kuweka alama za mshangao na kujiuliza maswali kadhaa. ana matatizo? kwa nini asiwe na rafiki wa kike? au muda bado haujafika? Enzi hizi za utandawazi! enzi zetu zile ilikuwa sawa, siyo sasa
sasa kama na mimi nam-feel nifanyeje ajue kuwa na mim nam-feel as anaona soo kusema yaliyoko moyoni mwake!(nauliza tu sio kuwa ndio nam-feel jamani,nataka tu kujua incase rafiki zangu inawatokea na wananiomba ushauri ila mim simfeel coz ni rafiki yangu wa kawaida).
Hata wewe unapaswa kuvunja ukimya, na ukavunje sasa....!
ahahahahaaa...kwann damu ikuchemke...thats what i do believe..maana nyie kina mama mwanaume mnayempenda huwa mnauficha upendo wenu nyuma ya pazia la "heshima"...so mie najua "UKINIHESHIMU'..means "UNANIPENDA NA KUNIZIMIKA MBAYAAA"...sema mmeumbwa kutongozwa...then I DO ZE NIDFULL
Kwani wewe ungependa iweje! I mean siku atakapoamwua kuvunja ukimya, will you say YES OR NO!!!
Kwani wewe upo single? Kama upo single huyo ndio anayekufaa.Huyo bila shaka anakupenda na anakuheshimu, what else do u want dada Cheusi?ni rafiki yangu namuheshimu sana kwa hiyo sitaki iwe vyovyote zaidi ya urafiki tulionao sasa.
Kwani wewe upo single? Kama upo single huyo ndio anayekufaa.Huyo bila shaka anakupenda na anakuheshimu, what else do u want dada Cheusi?
sasa kama na mimi nam-feel nifanyeje ajue kuwa na mim nam-feel as anaona soo kusema yaliyoko moyoni mwake!(nauliza tu sio kuwa ndio nam-feel jamani,nataka tu kujua incase rafiki zangu inawatokea na wananiomba ushauri ila mim simfeel coz ni rafiki yangu wa kawaida).
haya cheusi mangalaaaa...pole sana ila navyozidi kukusoma ni kuwa "u feel this budy" sema ngawo yako ya "kuheshimiana" unayoitumia unaona kama inakuwia ngumu sana kuiondoa..its like this...
KWA KILA MWANAUME YEYOTE AWAYE CHINI YA JUA...DEMU/MWANAMKE MZURI NA CHAGUO LA NAFSI YAKE KWA WAKATI WOWOTE NI YULE AMBAYA HAJAWAHI KUMJUA MAUNGONI MWAKE"..
soo u r standing a great chance ya kumpata huyu jamaa hata kama mnaheshimiana sana....du a lil trick to hook him up in ur "poisonous love trap"...in any occassion utayokutana naye mwombe akusaidie kuadjust ur bra-strips and to zip-up ur back-zippet minskirt...si unajua tulivyokuwa week na viji-sehemu kama hivyo...pia itasend a serious signal that in a very coming soon atakuwa invited to untie whatever inside your cloths...asipoonyesha kulegea kwa hizo trick...
COME N SEE ME FOR FURTHER STEPS
Mi mzima kwa uwezo wake Manani Mola. Hata mie nlikukosa nategemea ni kheri huko utokako. Inshallah suala lako litapata utatuzi dadangu.kaka abdul nimekumiss,umeadimika ktk macho yangu,nafurahi kukuona tena kaka yangu,hopefuly hujambo kaka.
uwiii huu ushauri wako hatari.lol.
Hata hivyo umenielewa vibaya tu.
siamini wala sitaki kujiaminisha kuwa nimekuelewa vibaya...cheusi mangalla...we men knws better to read u gals between ur lil lines...believe me honey..huyu jamaa wewe unamtamani mbayaa sema unakuwa huna jinsi kwa kuwa tuu "mnaheshimiana"..mie nimekupa tips za kumtega naye ajue heshima inatakiwa ikuwe na kuwa uhusiano wa mapenzi ulojaa heshima... Ni maoni yangu tu anyway