Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,210
kaka abdul nimekumiss,umeadimika ktk macho yangu,nafurahi kukuona tena kaka yangu,hopefuly hujambo kaka.
Du we cheusi, mbaona unawatega watu. Sasa unaanza kumuita abdul kaka, ina maana hutaki na yeye aanze kukutongoza. Usizibie watu kwa heshima kubwa kupita kiasi.
Kama ni mimi ujue namaanisha......
Nikikuita mpenzi ujue kuna siku nitaomba
kitumbua........lol
sio kweli kivipi????
Hebu njoo pm.....
hahaa!nakuja.
am waiting mpenzi........
Nadhani umeamua kukaa mbali na huyo best friend wako........maana ipo siku uvumilivu utamshinda na atakutongoza au wewe ndie utakaemtongoza!nishapata majibu ya maswali yangu mpenzi the boss.
uncle bongolander usiusemee moyo wa abdulhalim,mim na abdul ni mttu na kaka yake na tumetoka mbali,mi na yeye tukitongozana tutahesabika kama ndugu wenye laana.
Hana maana yeyote kama hajawahi kukuomba tunda! Mbona mimi huwa nawaita wapendwa wapenzi wangu waumini nikiwa sina dhamira ya kuwakwaza! Acha kujishuku.
siku akikuambia tu mpe hicho anachokitaka, usimnyime , kwani mume na mke hawaheshimiani? na tunda haliliwi?Hapo kaa mkao wa kuombwa tundi
[/QUOTE]wewee naweeee..yani na ukubwa wako na ujanja wako hujui kuwa kuna midume MIDOMO GANZI...kusema haiwezi INAONGEA KWA ISHARA NA LUGHA YA PICHA...kwa taarifa yako huyo jamaa anakufeel kinoma sema anakuonea soo kuvunja ukimya...
NDO MAANA WATU WA MAREKANI WAKALIONA HILO ....pia mie huwa sielewi mnaposema "namuheshimu sana".....ujue ukimuheshimu mtu sana ina maana upo tayari kumpa chochote atachohitaji....ndo maana mie huwa nawatongoza wale wote wanaosema wananiheshimu sana na huwa tunaishia kulana matunda ya miti yetu ya kati
....NI MAONI TUU
lav you all.
huyu rev masanilo ni nani/anahubiri kanisa gani huwa ananifurahisha sana na post zake
Karibu upate funuliwa neno ukapate jua kweli napatikana Masanilo Evangelical Church!