Michael Mlay
Member
- Aug 24, 2022
- 57
- 84
Habari za wakati huu Wana jf
Niende mojakwamoja kwenye point, Mimi nipo mkoa x nataka kufanya biashara ya form six and round t- shirts za mtumba grade 1 ,mtaji wangu nilionao ni 400,000.Naombeni mnijuze chimbo zuri la kupata mabalo ya t shirt za UK,Canada ,dubai au china. Pia naombeni ushauri juu ya hii biashara nayotaka kuifanya