Michael Mlay
Member
- Aug 24, 2022
- 57
- 84
Njoo in box mimi nauza tshirt new kwa bei poa kila rangi utapata u are welcome njoo in box chapHabari za wakati huu Wana jf
Niende mojakwamoja kwenye point, Mimi nipo mkoa x nataka kufanya biashara ya form six and round t- shirts za mtumba grade 1 ,mtaji wangu nilionao ni 400,000.Naombeni mnijuze chimbo zuri la kupata mabalo ya t shirt za UK,Canada ,dubai au china. Pia naombeni ushauri juu ya hii biashara nayotaka kuifanya
karibu ushauri upewe hapa achana na pm kama mtu yupo wazi akupe mawasiliano hapa na ushauri hapa wazi epuka kutapeliwa.Habari za wakati huu Wana jf
Niende mojakwamoja kwenye point, Mimi nipo mkoa x nataka kufanya biashara ya form six and round t- shirts za mtumba grade 1 ,mtaji wangu nilionao ni 400,000.Naombeni mnijuze chimbo zuri la kupata mabalo ya t shirt za UK,Canada ,dubai au china. Pia naombeni ushauri juu ya hii biashara nayotaka kuifanya
Haya Ndio maneno.kama una ndugu huku dar mtumie kukuchukulia na kukuchagulia balo zuri 255784705349 naweza kumpeleka tukakuchagulia mzigo mzuri.
Na Mimi nataka lakini PM sitaki!Njoo in box mimi nauza tshirt new kwa bei poa kila rangi utapata u are welcome njoo in box chap
Kuna maduka mtaa wa Narungombe na Livinstone au nenda mtaa wa Sofia kawawa pale kitumbini.Habari za wakati huu Wana jf
Niende mojakwamoja kwenye point, Mimi nipo mkoa x nataka kufanya biashara ya form six and round t- shirts za mtumba grade 1 ,mtaji wangu nilionao ni 400,000.Naombeni mnijuze chimbo zuri la kupata mabalo ya t shirt za UK,Canada ,dubai au china. Pia naombeni ushauri juu ya hii biashara nayotaka kuifanya
Balo bei gani,Bali la suruali za kike naweza kupatakama una ndugu huku dar mtumie kukuchukulia na kukuchagulia balo zuri 255784705349 naweza kumpeleka tukakuchagulia mzigo mzuri.
Aaaa okay,asa nikitaka kujua kama balo linanguo nzuri nifanyeje wakuu??? Ili nisiuziwe mbuzi kwenye guniaKuna maduka mtaa wa Narungombe na Livinstone au nenda mtaa wa Sofia kawawa pale kitumbini.
Nimewahi kueleza humu kupitia Uzi wangu w biashara ya mitumba: uzoefu wangu na utambuzi mwaka jana. Utafute
Ntakuja kama balo linanguo Nzuri???Haya Ndio maneno.
Sio habari za PM., Humu tupo wengi Kwa Nini anskuita mmoja?
..
Mkuu, kuna mtu ameleta mabalo ya T-shirts mpya kutoka China, anauza kwa jumla. Minimum order piece 100, bei ya piece 1 Tsh 3,400. Kwa hiyo kwa Tsh 340,000 unapata piece 100. Ukitaka piece nyingi zaidi unapata. Store ipo Dar. Kwa mawasiliano, nitumie msg pm. KaribuHabari za wakati huu Wana jf