Naombeni mnijuze kuhusu mikopo ya vijana ktk( tib)benki ya rasilimamli tz.

Mussa si ukakope kwa mjomba wako? Sred yako ni yamtu anaetaka mkopo toka kwa ankal wake
 
ninayo biashara sasa nataka niongeze bidhaa dukani kwangu,,,,,,,,,,,,kwa hiyo nataka wadau mnijuze kuhusu hawa jamaa wa TIB na desk lao la vijana cjui km kweli wanawapa vjana mikopo au lah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…