Naombeni mnijuze manufaa ya Ligi ya Muungano

Longoshe

Member
Joined
Jul 30, 2022
Posts
52
Reaction score
66
Nini manufaa ya hii ligi ya muungano kwa sasa ikiwa Tayari tuna mapinduzi cup inayokutanisha timu za Tanzania bara na visiwani.

 
Hayana manufaa yoyote yale kwa miaka ya sasa. Na huu ndiyo ukweli mchungu. Maana hata huo Muungano wenyewe umekaa kinafiki tu.
 
Ligi ya EPL kuna timu zilishiriki lakini zinatoka nchi ya Wales ikiwemo
Swansea City
Cardiff City

Zifuatazo zipo EFL
Newport County
Wrexham
Merthyr Town
 
Moja ya Manufaa ya ligi ya muungano ni wigo Kwa wachezaji kutokea visiwani kuonekana na timu kubwa za Unguja, Pemba na Bara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…