Suleiman mchawi WA Rhymes
JF-Expert Member
- Apr 24, 2022
- 405
- 1,008
Mhh mpwayu upo kwenye mic testing
Mhh mpwayu upo kwenye mic testing
Karibu sana Mpwayungu Village kwa ujio wako mwingineHabari zenu wakuu, naitwa Dawa ya wajinga mimi mgeni JF naombeni mnipokeee
Nimeipenda sana JF kutokana na uhuru wa mawazo usiyokwaza watu.
pia nimeona raisi na supika wanapita humu sasa mimi ni nani nisiiingie humu kupata madini
Members wapya ata hamuaminiki saizi kuna watu wamepigwa bun wanakuja na ID mpya.
Ila karibu mkuu,dawa ya wajinga
Karibu sana Mpwayungu Village kwa ujio wako mwingine