Naombeni mnipokee wana JF.

bila shaka umetokea facebook wewe. unaingiaje jf bila kuwasabahi wana jamvi. yaani unajiita mwanajf ina maana umejikaribisha wewe.
 
kwa msaada jukwaa la wageni ni wale wote wenye eng over ya mataptap.
 
kwa msaada jukwaa la wageni ni wale wote wenye eng over ya mataptap.

duh mataptap tena! ila hata ivo nashukur tayar nimeshawasabahi wana jamvi kule jukwaa la wageni...hongereni kwa kunipokea!
 
Karibu mkuu busara muhimu sana. Linalokufaa chukua kama unaushahidinalo kamahuna uc liseme.
 
Karibu sana. Ila nakuomba sana uepukane na matusi ya bavicha.
 
Goma son karibu,ila uwe unatoa hoja zisizo rojorojo kama mchuzi wa utumbo,udaku humu hautakiwi,vinginevyo wanajamvi watakufungulia mlango uende facebook na ukajiachie na unconstructive ideas huko.
:target:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…