Anthony peter
Member
- Feb 16, 2011
- 18
- 0
Ngoja wataalam wa hayo mambo watakuja. Ila fatilia kwanza ujue masomo wanayotaka. Mf. Pilot unapaswa usome Pgm.
kwa kuongeza nipata hizi adresscna uhakika kama wanatoa hiyo kozi lakini nenda kaulize pale Dar Marine Institute(DMI),Kipo posta maeneo ya Bandari kuu ya Dar.
kwa kuongeza nipata hizi adress
Principal, Dar es Salaam Maritime Institute (DMI), P.O. Box 6727,DAR ES SALAAM.
ni kweli kabisa, kama umri wako unaruhusu nenda