Naombeni mnisaidie hapa

mkorogo na vimatangazo vya dawa za kichina za kujichubua washaona dili ni kua mweupe na sio dada tu mpaka kaka zao
 
Hao ni waafrika wapenda Uarabu na Uzungu.

Heshima zao zimeteremka Dunia nzima.
Jimama zima sura Fanta miguu Coca-Cola.
 
Kiukweli nashindwa kuwaelewa kabisa dada na mama zangu! Labda wameona wanaume tunapenda sana wanawake weupe that's why wanajiharibu! Kiukweli mie nikiona mwanamke kajichubua basi humuona ni mtu asiye na msimamo katika mambo mengi kwani ni kiashiria cha kutojiamini!
 
Hao ni waafrika wapenda Uarabu na Uzungu.

Heshima zao zimeteremka Dunia nzima.
Jimama zima sura Fanta miguu Coca-Cola.
Mikono mirinda mashavu bia ya Kilimanjaro lips kama vampire mwendo kama anarudi nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…