naombeni mnisaidie hili; Nini hadhari ya mwanachuo kukosa kufanya field?

naombeni mnisaidie hili; Nini hadhari ya mwanachuo kukosa kufanya field?

SOKON 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2010
Posts
1,134
Reaction score
331
JE kuna madhara gani iwapo wanafunzi wa chuo kutofanya field?
 
Kuna athari kathaa anayoweza kupata mwanachuo kama atakosa kufanya mazoezi(field practical).

1. kushindwa kufanya kazi kwa umakini pale anapoanza kazi kwa ugeni wa mazingira.
2. kushindwa kutoa ushirikiano mahali pa kazi.
3. Anaweza akafanya uharibifu kwa kutoelewa baadhi mambo muhimu ambayo angejifunza kwenye mazoezi hayo n.k
 
Back
Top Bottom