Naombeni mnisaidie jina la muziki huu zawadi ipo

nimetumia hadi software za kulicognaze nyimbo imeshindwa hilo ni sound track tu la movie hata sio wimbo
 
kamavp hiyo vocha kaa nayo tu wala sina shida nayo
 
hahaaaa sikutaka hio vocha kwanza nipo safari sipo Tz nilikua nataka nijue tu ni kitu gani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…