unaendeleaje? Unaendeleeje? Maneno haya yapo katk kundi la vielez kwa maana yanaeleza jins au namna gan tendo au hali fulani ikoje...kifup kiambishi "-aje'' ndio sahihi na siyo "-eje"
ahsante
Hakuna neno linaitwa nifanyaje, labda liwe nitafanyaje. Na lipo kwenye wakati unaokuja. Neno nifanyeje lipo na linatumika kwa wakati uliopo. Ila neno nitafanyeje halipo.