Naombeni mnisaidie kumjua msanii alieuimba huku wimbo

okoyoko

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
2,664
Reaction score
3,641
Hello guys

Ni wimbo wa old school, moja ya mashairi yake yanaimbwa hivi,

"Tumeumbwa tupendane na tuishi kwa usawa, baba muumba...yatima ni binadamu anaehitaji kusaidiwa"

Kwa kusikiliza sauti ilioimba mashair hapo juu ni kama ya ferooz ila nimejaribu kuitafta hii nyimbo Google nikaikosa, wanaoijua hii song pls I need ur help guys
 
Huu mtihani sasa..sijui naanzia wapi kwa keywords hizo
 
Umenifanya namimi niulize ule wimbo wa kiingereza tangazo la cocacola upo wenyewe kabisa tofauti na tangazo? kama upo naombeni mwenye kujua jina lake aweke humu
 
Hello guys

Ni wimbo wa old school, moja ya mashairi yake yanaimbwa hivi,

"Tumeumbwa tupendane na tuishi kwa usawa, baba muumba...yatima ni binadamu anaehitaji kusaidiwa"

Kwa kusikiliza sauti ilioimba mashair hapo juu ni kama ya ferooz ila nimejaribu kuitafta hii nyimbo Google nikaikosa, wanaoijua hii song pls I need ur help guys
Survival sisters ft.ferouz
 
Nimeupata huu wimbo aisee,
 
Umenifanya namimi niulize ule wimbo wa kiingereza tangazo la cocacola upo wenyewe kabisa tofauti na tangazo? kama upo naombeni mwenye kujua jina lake aweke humu
Ni upi huo, ule wa "I love you Africa", wa Steve Kekana au
 
Back
Top Bottom