Survival sisters ft.ferouzHello guys
Ni wimbo wa old school, moja ya mashairi yake yanaimbwa hivi,
"Tumeumbwa tupendane na tuishi kwa usawa, baba muumba...yatima ni binadamu anaehitaji kusaidiwa"
Kwa kusikiliza sauti ilioimba mashair hapo juu ni kama ya ferooz ila nimejaribu kuitafta hii nyimbo Google nikaikosa, wanaoijua hii song pls I need ur help guys
Nimeupata huu wimbo aisee,Hello guys
Ni wimbo wa old school, moja ya mashairi yake yanaimbwa hivi,
"Tumeumbwa tupendane na tuishi kwa usawa, baba muumba...yatima ni binadamu anaehitaji kusaidiwa"
Kwa kusikiliza sauti ilioimba mashair hapo juu ni kama ya ferooz ila nimejaribu kuitafta hii nyimbo Google nikaikosa, wanaoijua hii song pls I need ur help guys
Ni upi huo, ule wa "I love you Africa", wa Steve Kekana auUmenifanya namimi niulize ule wimbo wa kiingereza tangazo la cocacola upo wenyewe kabisa tofauti na tangazo? kama upo naombeni mwenye kujua jina lake aweke humu