Shafii Dauda
Member
- Sep 21, 2014
- 44
- 2
cha kwanza nimeandikiwa selected katika profile yangu katika chuo cha ualimu green bird ODP arts''3rd-' ila kwenye orodha sipo apo inakuaje?
Pili lini tarehe ya kuripoti kwa wale wa 3rd selection na unatakiwa ulipe kuanzia kiasi gan?
Fomu ya kujiunga nitaipataje? Mwisho profile yangu leo ina niambia resorce unavailable