GANG MO JF-Expert Member Joined Dec 6, 2016 Posts 2,092 Reaction score 2,210 Feb 3, 2019 #1 Wakuu habari ya majukumu ya kutwa. nina rafiki yangu anaomba nimsaidie katika kujifunza lugha ya kiswahili. Tatizo sina muongozo wa kumfundishia, naomba kwa yeyote aliyenao anisaidie. Natanguliza shukrani sent using [emoji85]
Wakuu habari ya majukumu ya kutwa. nina rafiki yangu anaomba nimsaidie katika kujifunza lugha ya kiswahili. Tatizo sina muongozo wa kumfundishia, naomba kwa yeyote aliyenao anisaidie. Natanguliza shukrani sent using [emoji85]