Wakuu habari ya majukumu ya kutwa. nina rafiki yangu anaomba nimsaidie katika kujifunza lugha ya kiswahili. Tatizo sina muongozo wa kumfundishia, naomba kwa yeyote aliyenao anisaidie. Natanguliza shukrani
Anza na salamu
Vitendo muhimu kama kula na vinginevo
Pia uliza madhumuni ya mteja kama anakuja kutalii mfundishe majina ya wanyama na vingine vyenye uhusiano wa karibu na maeneo hayo