naombeni mnisaidie (nataka kufungua website)

naombeni mnisaidie (nataka kufungua website)

subz3r0

Member
Joined
Dec 7, 2011
Posts
13
Reaction score
0
nadhani wote hamjambo. nduguni zangu na madada zangu, nawaombeni mnisaidie.

siku nyingi sana nimewaza nifungue website inayohusu kutafuta kazi hapa tanzania n.k tatizo langu sijui kisheria inasemaje ukifanya hivyo, na je kuna TAX za kulipia na endapo nikipata matangazo za kuweza kwenye site, je inatakiwa nizilipie TAX.

nawaomeni kwa msaada wenu,

ahsanteni

subz3r0
 
mi nafikiri ishu yako haijabase sana kisheria swala la kulipa au kutolipa kodi waulize watu wanaohusika na kodii na sio wanasheria!alafu kuhusu kisheria inasemaje mi nafikiri it is not illegal thats y watu wanafungua!
 
Back
Top Bottom