Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Mwache mtoto anyonye bana. miaka 2 bado sana. mbona baba yake ananyonya hadi Leo?
Habarini za asubuhi wapendwa. Mtoto wangu anafikisha miaka miwili mwezi huu, nataka kumwachisha kunyonya ila ni mbishi balaa.Last week nlipaka alovera lkn akanyonya ivoivo, nkajaribu kuweka plasta iyo cku hakunyonya kutwa nzima.Ucku alilia mpka ikabid ntoe last a anyonye.Naombeni (esp.women) mnisaidie njia nyingine.NB This is my first born.
Mwanao inaonekana anapenda nyonyo..Njia rahisi yakumuachisha ni kumpeleka kwa bibi yaani mama yako awepo huko siku kadhaa...atalia sana siku za mwanzoni lakini taratibu atazoea na atasahau,akiwa na kiu apatiwe maji au maziwa kwa kikombe/chupa.
Inabidi uwe na roho ngumu usimuonee huruma au hatoacha.Watoto ni mahodari sana kumanipulate kuliko unavyoelewa...
basi abaki nae yeye we uchukue off/vacation ya siku kadhaa....Nlikua nataka ivo ila bbke hataki jmn.
Pole... Ila kaukatili kidogo kanatakiwa katika kumuachisha mtoto kunyonya... Jambo kubwa ni kukaa mbali naye kwa mudaHabarini za asubuhi wapendwa. Mtoto wangu anafikisha miaka miwili mwezi huu, nataka kumwachisha kunyonya ila ni mbishi balaa.Last week nlipaka alovera lkn akanyonya ivoivo, nkajaribu kuweka plasta iyo cku hakunyonya kutwa nzima.Ucku alilia mpka ikabid ntoe last a anyonye.Naombeni (esp.women) mnisaidie njia nyingine.NB This is my first born.
Hiyo plasta aliyoiogopa ndio ingemfaa,hakikisha umemuandalia kinywaji anachopenda kama maziwa,juice au chai,akilia unampa hivyo na si nyonyo.
Kama ukishindwa kabisa mpeleke kwa bibi au mama mkubwa kwa muda ingawa nayo itakunyima amani ukiwaza atakavyolia nawe haupo maana bibi ukimpigia simu atakwambia wala halii kumbe mtoto anakaribia kukauka sauti!!!
Habarini za asubuhi wapendwa. Mtoto wangu anafikisha miaka miwili mwezi huu, nataka kumwachisha kunyonya ila ni mbishi balaa.Last week nlipaka alovera lkn akanyonya ivoivo, nkajaribu kuweka plasta iyo cku hakunyonya kutwa nzima.Ucku alilia mpka ikabid ntoe last a anyonye.Naombeni (esp.women) mnisaidie njia nyingine.NB This is my first born.
Mie hata sijui wakwangu aliaachaje kunyonya
Il kwa kuanzia usilale nae, labda alale na dada anaemlea, akilia usimuonee huruma kwani zikipita siku 3 atakuwa amezoe, ukimuonea huruma ndo atanyonya hadi ukirudi kutoka kazini anakuambia mama kaa hapa ninyonye