Naombeni mnisaidie nyuzi hizi

Naombeni mnisaidie nyuzi hizi

Alfagems

Member
Joined
May 12, 2024
Posts
46
Reaction score
131
Wakuu Habari Za Uzima, Nimekuwa Msomaji na Mfuatiliaji Wa Stories Mbalimbali Humu Jamiiforums, Kuna Members Walileta Story hizi ila Zikanipotea, Naomba Mwenye Nazo Au Mwenye Link Anisaidie.

1. Uzi wa Kufirisika ( Hapa Watu Wanaeleza Namna Walivyokuwa na Pesa Nyingiii Wakafirisika )

2. Story ya Jamaa Aliyefungwa Jela Akakutana na Mfungwa, Huyo Mfungwa Akamwambia Ameficha Hazina ( Msimulizi wa Hii Story Alianza kwa kusema Ameitoa Kwenye Kipindi cha Radio )

3. Uzi wa Dada Mmoja Alisema Yeye ni Muimbaji wa Nyimbo za injili, Ndugu zake Wanamchukia kisa Amewazidi Kiuchumi, Ana Mtoto Mmoja wa Kiume Aliyempatia Ujuzi wa Kupaka Rangi ( Kama Sikosei )

4. Nyuzi za Migodini.

5. Nyuzi za WaTz Waliokwenda Kusaka Maisha South Africa. ( Hapa kuna Story ya Khumbu )

6. Juma Njemba.

7. Uzi Unaoeleza kuhusu Mkojo wa Asubuhi na Fanta orange.

8 Nyuzi Za Mapambano ya Askari Polisi + Wanajeshi na Majambazi Wanaoteka Magari Kanda Ya Ziwa.

9. Nyuzi inayomuelezea yule Muimbaji Aliyeimba ( Kazi Yangu Ya Dukani Ooh inaniweka Matatani )

10. Nyuzi za Robert Heriel Mtibeli Moja inasema
( Dunia inaogopesha , Maisha sio Mashindano ), Nyingine inasema ( Kujitolea ni Dhulma )

11. Nyuzi Zinazozungumzia Kuhusu JOHN OKELLO Na Mapinduzi Ya Zanzibar.

MUNGU AWABARIKI.
 
Vipi nyuzi za kimasihara na za komasava huzitaki
 
MashaAllah!
nimempenda mtoa mada siwezi ishi bila yeye😁 #jokes#
Nway..mwenye link ya hizo thread aweke hapa ASAP
 
Back
Top Bottom