Naombeni mnisaidie plz

Naombeni mnisaidie plz

kokunestory

Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
86
Reaction score
11
am a lady, naombeni mnisaidie nimetokea madoa doa miguuni na mba za ngozi juu ya titi,naombeni sana msaada yaani sina raha, kila nachotumia hola, naamini ntapata ushauri wa kitaalam zaidi, asanteniiii
 
Kamuone mtaalamu wa magonjwa ya ngozi.
 
watu wanaamini jf kuliko chochote yaani alivopost hapo amepata ahueni anaona keshapona.

Halafu kitu chenyewe kudescribe ni ngumu, maana hata Dr lazima akuone na akufanyie vipimo ndipo aje na diagnosis na course ya treatment.
 
Halafu kitu chenyewe kudescribe ni ngumu, maana hata Dr lazima akuone na akufanyie vipimo ndipo aje na diagnosis na course ya treatment.
kuna mtu alileta post humu anauliza jamani nina malaria au typhoid?ahahaaa yaani unashindwa kushangaa
 
Anza kutumia sabuni za mba kama Protex, anza mikakati ya kuonana na Dokta
 
jaribu ku2mia mafuta ya break kwa ajili ya mba na madoa tafuta dawa 1 imeandikwa doctor inaweza kukusaidia.
 
hapo kwenu hamna hospital karibu,uo mda wa kupoteza kusoma maoni yetu ungesha enda hospital
 
kuna mtu alileta post humu anauliza jamani nina malaria au typhoid?ahahaaa yaani unashindwa kushangaa

Unajua kuna mwagiko kubwa sana la watoto wa facebook kuja humu we chunguza mada za siku hizi ni mambo ya demu,mara punyeto,mara boyfriend wangu karudi likizo tujaonana tangia form one mpaka leo tupo form two sijamuona nishaurini nibwage au nisepe nae?,mara sasa waandike xaxa yaani tuna kazi humu tumeanza kuogopa kuanika mambo nyeti yetu maana watoto watachungulia.
 
Back
Top Bottom