kokunestory
Member
- Apr 11, 2013
- 86
- 11
watu wanaamini jf kuliko chochote yaani alivopost hapo amepata ahueni anaona keshapona.Kamuone mtaalamu wa magonjwa ya ngozi.
watu wanaamini jf kuliko chochote yaani alivopost hapo amepata ahueni anaona keshapona.
kuna mtu alileta post humu anauliza jamani nina malaria au typhoid?ahahaaa yaani unashindwa kushangaaHalafu kitu chenyewe kudescribe ni ngumu, maana hata Dr lazima akuone na akufanyie vipimo ndipo aje na diagnosis na course ya treatment.
Yaani hata ukitangaza ndoa unakuwa na uhakika kabla ya kuonana na mhusika. :A S shade:watu wanaamini jf kuliko chochote yaani alivopost hapo amepata ahueni anaona keshapona.
yaani kama ni mdada unaanza kabisa kutafuta gauni la harusi onlineYaani hata ukitangaza ndoa unakuwa na uhakika kabla ya kuonana na mhusika. :A S shade:
yaani kama ni mdada unaanza kabisa kutafuta gauni la harusi online
weka picha
weka picha
kuna mtu alileta post humu anauliza jamani nina malaria au typhoid?ahahaaa yaani unashindwa kushangaa
nitafute kwenye pm nitakushauri
nitafute kwenye pm nitakushauri
nitafute kwenye pm nitakushauri