Naombeni mnisaidie Roma Mkatoliki ni nani, means wasifu wake

Jina:Ibrahim Musa
Kabila:Mpare
Elimu:Alisoma PCM Old Moshi...pia ni mwalimu ila sijui kama alikua na diploma au degree
Kazi:Mwanamuziki
Ana mke mmoja na mtoto mmoja wa kiume anaitwa Ivan.Amekulia Tanga ila kwasasa anaishi Dar na family yake.
Asante,mkuu.
 
Hee! kumbe!
 
Ni kijana anajishughulisha na mziki wa kufoka foka juzi kati kunatetesi kwamba alijiteka.
Kama aliweza kuhadaa (KUDANGANYA) ULIMWENGU na vilivyomo kwa KUJIBADILI jina pasipo KIAPO cha Mahakama... Yaani ni nafuu kama sio bora kwa BASHITE aliye jiita MAKONDA kwa KUAPA Mahakamani..

Huyu ROMA MKATOLIKI ametuchafua na kutudhalilisha sisi WAUMINI wa ROMAN nashangaa na DUNIA inamtazama tu....!!

Nasikia baada ya KUTEKWA aliliwa NDOGO...
 
Jina:Ibrahim Musa
Kabila:Mpare
Elimu:Alisoma PCM Old Moshi...pia ni mwalimu ila sijui kama alikua na diploma au degree
Kazi:Mwanamuziki
Ana mke mmoja na mtoto mmoja wa kiume anaitwa Ivan.Amekulia Tanga ila kwasasa anaishi Dar na family yake.
Ahsante mkuu
 
kumbe vibaya kuliza dini na kabila mkuu
lakini pale tunapohajiwa police au gest huwa pia twauliza dini na kabila au ni kama HALI YA NCHI ATAKESEMA KUNA NJAA ATAKIONA
Jina lake Ibrahim Mussa, dini Mkristo...!!
 
roma ni mwana hip hop ambaye juzi kati alitekwa na kuchukuliwa uvulana wake na watot wa mjini
inasemakan lakn
I am from Netherland i don't know kiswahili vizuri, unaweza kuniandikia kwa kizungu mzee baba?
 
Roma mkatoliki ni mwanadamu yeyote awe mwanamke au mwanaume ambaye ni mkristu mzuri wa dhehebu la roman katoriki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…