gillard JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 227 Reaction score 165 Aug 26, 2013 #1 Mama yangu ana anasumbuliwa sana na sukari, msaada tafadhali wa hospitali gani nzuri au daktari gari kwa hapa Tanzania aende ili aweze pata matibabu mazuri. Natanguliza shukrani.
Mama yangu ana anasumbuliwa sana na sukari, msaada tafadhali wa hospitali gani nzuri au daktari gari kwa hapa Tanzania aende ili aweze pata matibabu mazuri. Natanguliza shukrani.
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Aug 26, 2013 #2 Dr kaushik wa hindu mandal anasifika. Pole sana. Jaribu kusearch humu jamvini kuna thread zinaelezea tiba kadhaa pamoja na vyakula.
Dr kaushik wa hindu mandal anasifika. Pole sana. Jaribu kusearch humu jamvini kuna thread zinaelezea tiba kadhaa pamoja na vyakula.
gillard JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 227 Reaction score 165 Aug 26, 2013 Thread starter #3 Shukrani sana King'asti, ubarikiwe