Naombeni mnisaidie

Naombeni mnisaidie

Mkopo huo utapata isokya hili kuindoa kelo za mtoaji mkopo kuangaika kukutafuta na kukudai inabidi huweke Bondi kitu chenye Thamani zaidi ya sh 70,000 Shart ni hilo tu kama upo Dsm lakini
Nipo dar es salaam lakin nimepata dharura kama mtu una nia nisaidie Mimi binadamu mwenzako
 
Umeomba kirahisi sana, hebu eleza endapo utapewa huo mkopo utaurudisha lini hata iwe rahisi mtu kufanikiwa.

Pole lakini.
Asante mkopo nitarejesha nikipata pesa siwezi kusema moja kwa moja ni lini ya Mungu Mengi hatujui kesho yetu naweza kuamka tajir nikalipa fadhila nying kuliko hiyo pesa
 
Mods naombeni Uzi wangu muupeleke jukwaa la hoja na habar mchanganyiko
 
Back
Top Bottom