Nipo dar es salaam lakin nimepata dharura kama mtu una nia nisaidie Mimi binadamu mwenzakoMkopo huo utapata isokya hili kuindoa kelo za mtoaji mkopo kuangaika kukutafuta na kukudai inabidi huweke Bondi kitu chenye Thamani zaidi ya sh 70,000 Shart ni hilo tu kama upo Dsm lakini
Asantela kheri mkuu
Asante mkopo nitarejesha nikipata pesa siwezi kusema moja kwa moja ni lini ya Mungu Mengi hatujui kesho yetu naweza kuamka tajir nikalipa fadhila nying kuliko hiyo pesaUmeomba kirahisi sana, hebu eleza endapo utapewa huo mkopo utaurudisha lini hata iwe rahisi mtu kufanikiwa.
Pole lakini.
🙂🙂hatimaye ombi lako limesikilizwaMods naombeni Uzi wangu muupeleke jukwaa la hoja na habar mchanganyiko
Jinsia yako tafadhari!Habar zenu nimepata dharura naombeni mnisaidie mkopo wa tsh elf 50 kwa mwenye Nayo.
Asanten