Naombeni mnisaidie

majuto mperungu

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
394
Reaction score
118
Nakumbuka miaka ya nyuma
niliwahi kuwa na mpenzi wangu
ambaye mpaka leo
nimeshindwa kumuelewa alikuwa
akimaanisha nini.Kila
siku alikuwa akifika kulala kwangu
lazima aache nguo yake ya ndani
aliyokuja nayo na yeye kuondoka
bila vazihilo.
Mara ya kwanza na ya pili
sikuona tatizo,lakini zilipofikia
kumi na bado anaziacha
nilishindwa kuelewa
nikamuuliza,sikupata jibu lolote
zaidi ya kicheko na kikafuatiwa na
halohaloooo.Sasa ndugu zangu
naomba msaada alikuwa
anamaanisha nini huyu
mwenzangu?
Mpaka sasa nipo njia panda
cjafahamu alkuwa anamaanisha
nn!
 
makubwa haya,maybe ni kama silaha kwake,ukiingiza mwanamke mwengine huyo mwanamke ajue kuwa huyu mtu ana mtu wake permanent.mapenzi ya siku hizi mmmh
 

Hiki ni kitendawili ambacho ndio kwanza leo nikisikie lakini kwa vile unataka uteguzi basi tufikirie labda alikuwa anakusudia kuweka hesabu siku alizolala nawe. Ni rahisi kwa wewe kukumbuka siku ngapi ukizihesabu hizo nguo!
 
Kwa muda mrefu hatujapata kimbwanga kama hichi. Hongera kijana kwa post yako.
 
kumbe ni miaka ya nyuma?nilidhani wa sasa.daa nafikiri nimeshiba uji
 
"this is my territory"
Nikuacha alama tu kuonyesha ya kwamba
nyumba hii inamwenyewe..
na Kama ulivyosema hapo awali alikuwa ni
mpenzio basi jambo Hilo kawaida tu .. Labda
angelikuwa hawara basi hapo kuna tatizo...
 
Teritorial behavior na tallying ili baadaye atafute frikwensi za ziara.
 
mademu wajanja ukiwapeleka getho unapoish, hupenda kuacha chochocte cha kike, ili kama kuna mwizi akija ajue kuna mwenye nyumba. labda huyo wa kwako alikuwa haji na khanga, akaona nguo rahis ya kuacha ni pichu yake.

vivyo hivyo demu mjanja akija getho kwako usiamuachie upenyo, atafekenyua kujaribu kutafuta chochote chenye alama ya ujio wa mwanamke mwingine.
 

mkuuu hatuhitaji kuachiwa Upenyo tukitaka kukuuza tunaweza..
kuna vitu kama harufu perfume , lipstick etc. ambavyo ni ngumu kuondoa harufu..
 
Una akili kama bibi kiroboto!
Na mie niliwaza anaweka hesabu, akifikia target anaanza kuulizia ndoa!
Hiki ni kitendawili ambacho ndio kwanza leo nikisikie lakini kwa vile unataka uteguzi basi tufikirie labda alikuwa anakusudia kuweka hesabu siku alizolala nawe. Ni rahisi kwa wewe kukumbuka siku ngapi ukizihesabu hizo nguo!
 
Pichu zake zilikua zinamsaidia kukumbusha wewe kutambua uwepo wake hata kama hayupo kwako, hata hivyo si mlishaachana?what's the matter?!
 
Hiki ni kitendawili ambacho ndio kwanza leo nikisikie lakini kwa vile unataka uteguzi basi tufikirie labda alikuwa anakusudia kuweka hesabu siku alizolala nawe. Ni rahisi kwa wewe kukumbuka siku ngapi ukizihesabu hizo nguo!

kweli kk yaweza kuwa
 
hahahaahahahahhahahah......halohaloooooooooooooooooooooooo..
 
hiyo ya kuondoka uchi bila chu^pi ndiyo inaniacha hoi... naona imekaa kinda superstitious vile
 
dah! jf ni sehem yangu ya kupunguzia stress lol!.......................hadi guts za kujua umeshiriki mara ngapi unapata? ila namjua dada mmoja yeye akienda kwa bf wake huacha kitana na hii ni kila siku tena hukiacha kikiwa na nywele mpaka akija tena huondoa zile nywele na kuchania kingine na kukiacha na nywele na hakumwambia mchumba kwanini anafanya hivyo mpaka leo.............sasa sijui ni kwanini aisee.
 
Wanawake wana vituko sana aisee.
 
siku ambazo ulikuwa humegi nazo alikuwa anaondoka bila pichu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…