Nakumbuka miaka ya nyuma
niliwahi kuwa na mpenzi wangu
ambaye mpaka leo
nimeshindwa kumuelewa alikuwa
akimaanisha nini.Kila
siku alikuwa akifika kulala kwangu
lazima aache nguo yake ya ndani
aliyokuja nayo na yeye kuondoka
bila vazihilo.
Mara ya kwanza na ya pili
sikuona tatizo,lakini zilipofikia
kumi na bado anaziacha
nilishindwa kuelewa
nikamuuliza,sikupata jibu lolote
zaidi ya kicheko na kikafuatiwa na
halohaloooo.Sasa ndugu zangu
naomba msaada alikuwa
anamaanisha nini huyu
mwenzangu?
Mpaka sasa nipo njia panda
cjafahamu alkuwa anamaanisha
nn!